MZUNGUKO WA PILI VPL KUANZA LEO, YANGA MIKONONI MWA LIPULI FC
Mzunguko wa lala salama katika ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara maarufu (VPL) unaanza leo kwa mechi sita kupigwa katika viwanja tofauti hapa nchini.
Mabingwa watetezi wa ligi hiyo Young Africans maarufu kama Yanga watakua wageni wa Lipuli FC mchezo utakaopigwa katika uwanja wa kumbukumbu ya Samora mkoani Iringa.
Yanga itataka kuchomoza na pointi zote tatu katika mchezo huo kwani katika mchezo wa awali uliopigwa jijini Dar es Salaam Timu hizo zilitoka sare ya kufungana bao 1-1.
Hii hapa Ratiba kamili ya mechi za VPL zitakazopigwa leo
- Lipuli FC vs Yanga SC
- Singida United vs Mwadui FC
- Tanzania Prisons vs Njombe Mji
- Majimaji FC vs Mbeya City
- Stand United vs Mtibwa Sugar
- Azam FC vs Ndanda FC

No comments