JOHN BOCCO NDIE MCHEZAJI BORA MWEI JANUARI LIGI KUU
Nahodha
wa timu ya Simba John Bocco amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa ligi kwa mwezi
Januari baada ya kumpiku nyota mwenzake Emmanuel Okwi na Awesu Awesu wa Mwadui FC.
Bocco amecheza mechi tatu mwezi Januari
akifunga mabao matatu na kusaidia mengine mawili huku akicheza dakika zote 270..
John Bocco atazawadiwa tuzo, kisimbuzi
cha Azam TV na fedha taslimu sh. milioni moja kutoka kwa mdhamini mkuu wa ligi
kampuni ya Vodacom Tanzania.
No comments