EUROPA LEAGUE: ARSENAL KUANZIA ITALIA DORTMUND YABAKI NYUMBANI
Droo ya
hatua ya 16 bora ya michuano ya Europa League imemalizika muda mfupi uliopita
mjini Nyon ambapo Arsenal imepangwa
kukutana na wakongwe wa Seria A Ac Milan
kutoka Italia.
Baada ya kuwaondosha Ostersunds kikosi cha
Kocha Arsene Wenger kitaanzia tena ugenini ikipangwa kucheza tarehe 8 mwezi
ujao huko Italia sasa kimepewa nafasi ya
kuanza kucheza mechi zake ugenini na mechi ya kwanza ikipangwa kuchezwa tarehe
9 mwezi Ujao huko Russia.
Ratia kamili ya mechi hizo
Ac Milan
v Arsenal
Atletico Madrid v Lokomotiv
Moscow. City rivals
CSKA Moscow Vs Lyon
Lazio Vs Dinamo Kiev
RB Leipzig Vs Zenit St.
Petersburg,
Marseille Vs Athletic
Bilbao.
Sporting Lisbon Vs Viktoria Plzen.
Borussia Dortmund Vs Red Bull Salzburg.

No comments