Tarehe 1 January kila mwaka ni Siku maalumu ya Wapenda Soka ambapo tunajumuika pamoja kutoa zawadi kwa ndugu zetu na marafiki zetu na mwaka huu tulikua Mjini Bagamoyo katika kituo cha watoto yatima cha IMUMA
Tumekuandalia hapa picha za baadhi ya matukio Siku hiyo sehemu ya Pili.
No comments