WACHEZAJI WATANO NA KOCHA ZANZIBAR HEROES WAUNDA KIKOSI BORA CHA CHALENJI.

Washindi wa pili wa michuano ya Kombe la Chalenji iliyomalizika jana Nchini Kenya timu ya taifa ya Zanzibar maarufa kama Zanzibar Heroes wametoa wachezaji watano katika kikosi bora cha michuano hiyo ambayo Kenya iliibuka na kombe.

Zanzibar moja kati ya timu zilizocheza mchezo wa kuvuatia licha ya kutoa wachezaji watano lakini pia kocha mkuu wa timu hiyo Hemed Morocco Suleima amechaguliwa kama kocha bora akifatiwa na kocha mkuu wa Harambee Stars Paul Put.


Kwa Upande wa Tanzania bara mchezaji mmoja tu Himid Mao ambaye alikua nahodha wa kikosi hicho ndiye aliyejitokeza katika orodha ya wachezaji bora wa mashindano hayo.


KIKOSI KAMILI 



  1. Patrick Matasi (Kenya)
  2. Fitina Omborenga (Rwanda)
  3. Haji Mwinyi (Zanzibar)
  4. Jockins Atudo (Kenya)
  5. Bernard Muwanga (Uganda)
  6. Abdul-Aziz Makame (Zanzibar)
  7. Alharaish Zakaria (Libya)
  8. Patillah Omoto (Kenya)
  9. Derrick Nsibambi (Uganda)
  10. Shassir Nahimana (Burundi)
  11. Abubakher Sanni (Ethiopia)

Wachezaji wa Akiba:

Abdulrahman Mohamed (GK, Zanzibar), Yaleh Tilahun (Ethiopia), Himid Mao (Tanzania Mainland), Milton Kalisa (Uganda), Hakizimana Muhadjiri (Rwanda), Issa Juma, Feisal Abdalla and Mudathir Yahya (Zanzibar), Wol Atak (South Sudan), Dennis Sikhai, Masud Juma, Vincent Oburu (Kenya), Taktak Muftah (Libya),

Mwalimu: Hemed ‘Morocco’ Suleiman (Zanzibar), Mwalimu Msaidizi: Paul Put (Kenya)

No comments

Powered by Blogger.