HIKI HAPA KIKOSI CHA ZANZIBAR HEROES DHIDI YA LIBYA
Kocha wa
Timu ya Taifa ya Zanzibar Hemed Morocco amefanya mabadiliko makubwa kwa
kuwaanzisha wachezaji nane wapya katika kikosi kitakachocheza na timu ya Libya
mchana huu.
Kikosi kitakachoanza
3. Haji Mwinyi Ngwali
4. Abdullah Haji
5. Issa Haidar Dau
6. Abdul azizi Makame
7. Seif Rashid
8. Abdul swamad Kassim
9. Khamis Mussa
10. Amour Suleiman
11. Adeyum Saleh
Wachezaji wa akiba.
1. Mohamed Abrahman
2. Nassor Mrisho Salum
3. Ibrahim Mohamed
4. Ibrahim Abdallah
5. Abdulla Salum Kheri
6. Mohamed Issa
7. Mudathir Yahya
8. Ibrahim Hamad Hilika
9. Feisal Salum
10. Hamad Mshamata
No comments