TAIFA STARS YAJIANDAA KUIVAA BENIN JUMAPILI
Kikosi cha timu ya Tanzania (Taifa Stars) Chini ya Kocha mkuu Salum Mayanga kimeanza mazoezi rasmi leo kujiandaa na mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi Benin utakaofanyika nchini humo Novemba 12.
Mchezo huo upo kwenye kalenda ya FIFA ambapo kama Stars itashinda itapanda kwenye viwango vinavyotolewa kila mwezi na Shirikisho hilo.
No comments