HII HAPA RATIBA YA LIGI KUU BONGO KWA SAA ZA HAPA NYUMBANI

Raundi ya tisa ya ligi kuu Vodacom Tanzania bara inaendelea kwa michezo mitano kupigwa katika viwanja tofauti nchini

Tumekuekea
★★TANZANIA - Vodacom Premier League★★

4:00 PM-Singida United v Young Africans
4:00 PM-Kagera Sugar v Tanzania Prisons
4:00 PM-Njombe Mji Fc v Mbao Fc
4:00 PM-Azam Fc v Ruvu Shooting
4:00 PM-Ndanda Fc v Mtibwa Sugar

No comments

Powered by Blogger.