HAYA HAPA MATOKEO YOTE LIGI KUU BONGO LEO

Michezo mitano ya ligi kuu vodacom Tanzania bara imepigwa Leo nchini katika viwanja tofauti

Michezo yote ya Leo imeisha kwa sare kasoro michezo mmoja tu wa wa wanalamba lamba Azam ndio wameibuka na ushindi mwembamba dhidi ya maafande wa Ruvu Shooting na kujieka kileleni mwa ligi kuu kwa pointi 19

Tumekuekea hapa matokeo yote ya mechi zilizochezwa leo

Singida United 0-0 Yanga
Kagera Sugar 1-1 Tanzania Prisons
Njombe Mji 0-0 Mbao FC
Ndanda FC 0-0  Mtibwa Sugar
Azam Fc 1-0 Ruvu Shooting

No comments

Powered by Blogger.