MAJINA 24 YANAYOUNDA KIKOSI CHA TAIFA STARS
Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Salum Mayanga ametangaza kikosi cha wachezaji 24 kitakacho jiandaa na mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi Benin utakaofanyika nchini humo Novemba 11.
Mchezo huo ambao upo kwenye kalenda ya FIFA ambapo kama Stars itashinda itapanda kwenye viwango vinavyotolewa kila mwezi na Shirikisho hilo.
Kikosi kilichotangazwa leo kitaingia kambini Novemba 5 kujiandaa na mchezo huo na watasafiri kuelekea Benin Novemba 9.
Makipa
Aishi Manula, Peter Manyika na Ramadhan Kabwili.
Walinzi
Gadiel Michael, Erasto Nyoni, Boniface Maganga, Abdi Banda, Kelvin Yondani na Nurdin Chona.
Viungo
Himid Mao,Hamis Abdallah, Raphael Daud, Mohammed Issa, Mzamiru Yassin, Simon Msuva, Farid Mussa na Ibrahim Ajib.
Washambuliaji
Mbwana Samata, Mbaraka Yusuph na Elius Maguri.
Kocha Mayanga amewajumuisha pia kikosini wachezaji vijana ambao ni Yohana Mkomola, Abdul Mohammed na Dickson Job, wote wakitoka Serengeti Boys

No comments