HAWA HAPA WANAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA DUNIA KWA MWAKA 2017

Mshambuliaji wa Tottenham Harry Kane ameoredheshwa kwa mara ya kwanza kuwania tuzo ya mchezaji bora zaidi duniani mwaka 2017 maarufu kama Ballon d'Or.

Orodha kamili ya wanaoshindania Ballon d'Or

§  Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund na Gabon),
§  Karim Benzema (Real Madrid na Ufaransa)
§  Leonardo Bonucci (AC Milan na Italia)
§  Gianluigi Buffon (Juventus na Italia)
§  Edinson Cavani (Paris St-Germain na Uruguay)
§  Philippe Coutinho (Liverpool na Brazil)
§  Kevin de Bruyne (Manchester City na Ubelgiji)

§  David de Gea (Manchester United na Uhispania)
§  Paulo Dybala (Juventus na Argentina)
§  Edin Dzeko (Roma na Bosnia-Herzegovina)
§  Radamel Falcao (Monaco na Colombia)
§  Antoine Griezmann (Atletico Madrid na Ufaransa)
§  Eden Hazard (Chelsea and Ubelgiji)
§  Mats Hummels (Bayern Munich na Ujerumani)
§  Isco (Real Madrid na Uhispania)
§  Harry Kane (Tottenham na England)
§  N'Golo Kante (Chelsea na Ufaransa)
§  Toni Kroos (Real Madrid na Ujerumani)
§  Robert Lewandowski (Bayern Munich na Poland)
§  Sadio Mane (Liverpool na Senegal)

§  Marcelo (Real Madrid na Brazil)
§  Kylian Mbappe (Paris St-Germain na Ufaransa)
§  Dries Mertens (Napoli na Belgium)
§  Lionel Messi (Barcelona na Argentina)
§  Luka Modric (Real Madrid na Croatia)
§  Neymar (Paris St-Germain na Brazil)
§  Jan Oblak (Atletico Madrid na Slovenia)
§  Sergio Ramos (Real Madrid na Uhispania)
§  Cristiano Ronaldo (Real Madrid na Ureno)
§  Luis Suarez (Barcelona na Uruguay).


No comments

Powered by Blogger.