MTIBWA SUGAR NDIYO KINARA LIGI KUU TANZANIA BARA BAADA YA MECHI ZA JANA

Msimu mpya wa ligi kuu ya Soka Tanzania bara ulimaliza mzunguko wake wa pili jana kwa mechi kadhaa kuchezwa kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Mpaka mzunguko wa Pili unakamilika jana klabu ya Mtibwa Sugar ndiyo pekee ambayo imeweza kushinda mechi zake zote mbili na kuifanya kushikia usukani wa ligi hiyo ikifikisha pointi 6 huku Simba,Azam na Yanga zote zikiwa na pointi 4 sawa pia na Lipuli toka Iringa.

Stand United na Njombe Mji ndizo timu pekee mpaka sasa hazijaonja ushindi wala sare yoyote zikiwa zimefungwa mechi zote tangu ligi hiyo kuanza.

Tumekuwekea hapa Msimamo wa ligi hiyo baada ya mechi za mzunguko wa pili.


No comments

Powered by Blogger.