MAN UNITED KUIVAA SWANSEA, CHELSEA NA EVERTON, SPURS NA WEST HAM 16 BORA EFL
Hii hapa Ratiba ya Hatua ya 16 bora ya michuano ya kombe la ligi nchini England baada ya mechi za jana Usiku na mechi hizi zikitarajiwa kuchezwa tarehe 23 na 24 mwezi wa kumi.
No comments