RATIBA EFL: MAN UNITED,CHELSEA NA ARSENAL ZAPATA "MTEREMKO"

The bizarrely timed Carabao Cup draw has served up the ties for the competition's third round
Mabingwa watetezi wa kombe la Ligi Nchini England ambalo hujulikana kama EFL Carabao Cup klabu ya Manchester United, Chelsea na Arsenal zimepangwa kukutana na timu za madaraja ya chini katika hatua ya Tatu ya michuano hiyo ambayo bingwa wake hupata nafasi ya kuiwakilisha England katika Europa league.

Manchester united yenyewe imepangwa kucheza dhidi ya Burton Albion katika dimba la Old Trafford wakati Chelsea wao watacheza dhidi ya Nottigham Forest kwenye dimba la Stamford Bridge huku Arsenal wao wakipangwa kucheza dhidi ya Doncaster Rovers katika uwanja wa Emirates. 

Ratiba kamili hii hapa na timu ya kwanza ndiyo itakua mwenyeji wa mchezo husika 
  • West Bromwich Albion vs Manchester City
  • Everton vs Sunderland
  • Leicester City vs Liverpool
  • Manchester United vs Burton Albion
  • Brentford vs Norwich
  • Wolves vs Bristol Rovers
  • Burnley vs Leeds United
  • Arsenal vs Doncaster Rovers
  • Bristol City vs Stoke City 
  • Reading vs Swansea
  • Aston Villa vs Middlesbrough
  • Chelsea vs Nottingham Forest 
  • West Ham United vs Bolton Wanderers
  • Crystal Palace vs Huddersfield Town 
  • Tottenham Hotspur vs Barnsley or Derby County
  • Bournemouth vs Brighton and Hove Albion 

MECHI HIZO ZITACHEZWA WIKI ITAKAYOANZA TAREHE 18 MWEZI SEPTEMBA 2017

No comments

Powered by Blogger.