ROONEY AFUNGUA UPYA UKURASA WA MAGOLI EVERTON AKIWA TANZANIA
Nahodha wa zamani wa England na Manchester United Wayne Rooney alifunga bao lake la kwanza tangu alipotangaza kurejea Everton akitokea Manchester United.
Rooney alifunga moja kati ya magoli mawili ya Everton kwenye ushindi wa bao 2-1 walioupata Everton dhidi ya Gor Mahia toka Kenya akifunga bao moja lakini hakudumu mpaka mwisho alitoka kuwapisha wachezaji wengine.
Moja ya mambo yaliyotia fora ni
kwa shabiki aliyevaa fulana ya Man United kuingia uwanjani na kwenda kumkumbatia Rooney kabla ya maaskari hawajamtoa.
Haya hapa baadhi ya matukio
![]() |
| Dylan kerr kecha wa Gormahia akiwa na Ronald Koeman kocha wa Everton |











No comments