SALAH ATUA LIVERPOOL KWA DAU LA REKODI
Timu ya Liverpool imekamilisha usajili wa winga Mohamed Salah, kutoka Klabu ya AS Roma ya Italia, kwa dau la Pauni million 39 kwa kandarasi ya miaka mitano kuitumikia Liverpool.
Usajili wa winga huyu raia wa Misri umevunja rekodi ya usajili kwa wachezaji waliowahi kusajiliwa na timu hiyo ambapo usajili wa gharama zaidi ulikuwa wa mshambuliaji Andy Carrol, aliposajiliwa kwa dau la pauni milioni 35 mwaka 2011.
''Ninafuraha sana kuwepo hapa nitajitoa kwa asilimia mia moja na nitatoa kila kitu kwa ajili ya klabu hii,

No comments