RASMI SASA NGOMA ASAINI YANGA MIAKA MIWILI
Kitendawili kingine kimeteguliwa katika duru za soka nchini kumhusu mshambuliaji wa Yanga raia wa Zimbabwe Donald Ngoma ambaye kumekua na ripoti kadhaa kumhusu.
Taarifa rasmi ni kwamba mshambuliaji huyo ameongeza mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kuitumikia klabu yake ya Yanga.
Ngoma amesaini mkataba mbele ya wajumbe wa kamati ya usajili ya Yanga akiwemo Hussein Nyika.
Taarifa hii inamaliza uvumi ulioenea kwamba Ngoma amejiunga na klabu ya Polokwane ya Afrika Kusini huku taarifa nyingine zikidai anakwenda Simba.

No comments