WAKATI WATANZANIA TUKIBAKI KUWA WATAZAMAJI, HAYA HAPA MAKUNDI YA LIGI YA MABINGWA NA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA


Mabingwa wa Tanzania bara Yanga ndiyo timu pekee iliyokua imebaki kwenye michuano ya kimataifa kabla ya kutolewa kwa kipigo cha bao 4-1 yakiwa ni matokeo ya jumla dhidi ya MC Alger ya Algeria.

Jana Jumatano jijini Cairo yalipangwa makundi ya michuano ya klabu bingwa na kombe la Shirikisho barani Afrika ambapo mabingwa watetezi Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.

Mamelodi wamepangwa kundi C pamoja na mabingwa wa zamani wa Afrika Esperance ya Tunisia,St George ya Ethiopia na AS Vita ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo.

Haya hapa Makundi ya Ligi ya mabingwa.

KUNDI A


  • Ferroviario Beira, (Msumbiji)
  • El Merrikh, (Sudan)
  • Al Hilal (Sudan)
  • Etoile du Sahel.(Tunisia)

GROUP B


  •  Zamalek (Misri)
  • Caps United, (Zimbabwe)
  • Ahli Tripoli (Libya)
  • USM Alger (Algeria)

GROUP C


  • Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini)
  • Esperance (Tunisia)
  • St. George (Ethiopia)
  • AS Vita (Congo DR)

GROUP D


  • Cotton Sports (Cameron)
  • Zanaco (Zambia)
  • Wydad Casablanca (Moroco)
  • Al Ahly (Misri)

Kombe la Shirikisho

GROUP A


  • Rivers United (Nigeria)
  • FUS Rabat (Moroco)
  • Club African (Tunisia)
  • Kampala CC (Uganda)

GROUP B


  • CS Sfaxien (Tunisia)
  • Platinum Stars (Zimbabwe)
  • MC Alger (Algeria)
  • Mbabane Swallows (Swaziland).

GROUP C


  •  Zesco United(Zambia)
  • Recreativo Lobolo (Angola)
  • Al Hilal (Misri)
  •  Smouha (Misri)

GROUP D


  • TP Mazembe (Congo DR)
  • SuperSport United (Afrika Kusini)
  • Horoya AT (Guinea)
  • CF Mounana (Gabon)

No comments

Powered by Blogger.