DR. MWAKYEMBE ACHUKUA NAFASI YA NAPE KATIKA MICHEZO

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli leo amemteua Aliyekua waziri wa Katiba na Sheria Dr. Harisson Mwakyembe kuongoza wizara ya Habari,Sanaa wasanii na michezo nafasi iliyokua ikishikiliwa na Mheshimiwa Nape Moses Nnauye.

Katika taarifa ya Ikulu imemtaja waziri Mwakyembe kushika nafasi hiyo bila kusema ni wapi Mheshimiwa Nape amepangiwa.

www.wapendasoka.com Inampongeza Mheshimiwa Mwakyembe na kumkaribisha katika tasnia hii ya michezo tukitegemea ataendeleza mazuri yote yaliyofanywa na mheshimiwa Nape.

Taarifa kamili hii hapa

No comments

Powered by Blogger.