EPL JANA : LIVERPOOL HOI,ROONEY ATENGENEZA REKODI MPYA , MATOKEO NA WAFUNGAJI MECHI ZOTE ZA JANA HAYA HAPA

Ligi kuu ya England imeendelea tena jana kwa mechi 7 kupigwa katika viwanja tofauti huku matokeo ya kushangaza yakishuhudiwa.

Tukio kubwa katika mechi za jana ni pamoja na kumshuhudia Wayne Rooney akiisawazishia Man United dakika za lala salama lakini nahodha huyo aliyeanzia benchi alifunga goli ambalo limemfanya kuwa mfungaji bora wa Man United wa siku zote, akifikisha magoli 250 baada ya kupita rekodi ya magoli 249 iliyowekwa na Sir Bobby Chalton miaka 40 iliyopita.

Liverpool wakiwa nyumbani walishangazwa na wageni Swansea baada ya kufungwa bao 3-2 wakati Manchester City walishindwa kulinda ushinda wa bao 2-0 walioupata na kuruhusu magoli hayo kurudishwa na mchezo kumalizika kwa sare ya bao 2-2.

www.wapendasoka.com tumekuwekea hapa Matokeo ya mechi zote za jana katika ligi hiyo pamoja na wafungaji katika mechi zote hizo

● Liverpool 2-3 Swansea
  | Fernando Llorente 48',53'|
  | Gyfil Sidguson 74' |
  ( Robert Firminho 55',69')

● AFC Bournemouth 2-2 Watford
   | Christian Kabasele 24'|
   | Joshua King 49'|
   | Troy Deeney 64'|
   | Benik Afobe 82' |

● Crystal Palace 0-1 Everton
   | Seamus Coleman 87'|

● Middlesbrough 1-3 West Ham
  | Andy Caroll 9',44' |
  | Jonathan Calleri 90'|
  ( Christian Stuani 27' )

● Stoke City 1-1 Manchester United
  | Juan Mata (OG) 19'|
  | Wayne Rooney 90'+4|

● West Brom 2-0 Sunderland
  | Darren Fletcher 30' |
  | Chris Brunt 36'|

Manchester City 2-2 Totonham
  | Leroy Sane 49'|
  |Kevin de Brune 54'|
  | Delle Alli 58'|
  | Hueng-Min Son 78'|

No comments

Powered by Blogger.