MAN UNITED,CHELSEA NA ARSENAL WAINOGESHA "BOXING DAY" MATOKEO NA WAFUNGAJI KATIKA MECHI ZA LEO YAKO HAPA
Jumla ya mechi 7 zilipigwa leo katika mwendelezo wa ligi kuu ya England raundi ya 18 huku jumla ya magoli 18 yakifungwa katika mechi zote hizo.
Tumekuwekea hapa Matokeo na Wafungaji wa mechi zote zilizopigwa tayari mpaka sasa huku mechi ya mwisho ikiwa ni Hull City watakaoikabili Manchester City.
● Chelsea 3-0 Bournemouth
- Pedro (24',89')
- Eden Hazard (50')p
● Swansea 1-4 West Ham
- Andrew Ayew (13)
- Wiston Reid (50')
- Antonio (78')
- Fernando Lloriente (89')
- Andy Caroll (90')
● Man United 3-1 Sunderland
- Daley Blind (39')
- Zlatan Ibrahimovic (82')
- Henrik Mkytaryan (85')
- Fabio Borini (89')
● Leicester City 0-2 Everton
- Kevin Miralas (50')
- Romelu Lukaku (90')
● Burnley 1-0 Middlesbrough
- Andre Gray (80')
● Arsenal 1-0 West Brom
- Olivier Giroud (86')
● Watford 1-1 Crystal Palace
- Yohan Cabaye (26')
- Troy Deeney (72')
No comments