WAWA ATIMKA AZAM
Beki wa kimataifa wa Ivory Coast Pascal Wawa aliyekua akikipiga Azam FC amesaini mkataba wa miaka miwili na klabu yake ya zamani ya El Emerreikh ya Sudan.
Inadaiwa Pascal amekua hana maelewano mazuri na benchi la ufundi la sasa la Azam FC, hali iliyopelekea kurejea katika klabu yake hiyo ya zamani.
Pascal Wawa alijiunga na Azam FC mwaka 2014 akitokea klabu hiyo.
No comments