KIKOSI CHA TAIFA STARS DHIDI YA ZIMBABWE JIONI YA LEO.

Tayari tumekipata kikosi cha kwanza cha Taifa Stars ambacho jioni ya keo kitacheza mchezo wa kujipima ubavu dhidi ya wenyeji Zimbabwe huko Harare.

Mchezo unatarajiwa kuanza majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za hapa Tanzania wakati huko Zimbabwe ni saa 9:00 Alasiri.

No comments

Powered by Blogger.