C.E.O MPYA WA YANGA KUTUA MUDA WOWOTE KUTOKA SASA.
Inaonekana Yanga Wameamua kwa dhati kubadilisha mambo mengi ndani ya klabu yao baada ya kumteua Mfaransa Jerome Duofourg ambaye ni mtaalamu wa masoko katika michezo kuwa mtendaji mkuu (C.E.O) wa klabu hiyo.
Kwa mujibu wa mtandao wa supersport wa Afrika Kusini, Dofourg ameteuliwa ili kuendesha shughuli za Yanga pamoja na mipango ya fedha kufuatia klabu hiyo kupata hasara ya Shilingi bilioni 1.5 msimu uliopita.
Aidha, taarifa iliyotufikia ni kwamba C.E.O huyo mwenye umri wa miaka 30 anatarajiwa kuanza kazi rasmi Novemba 19. Dofourg amewahi kufanya kazi katika shirikisho la soka nchini Rwanda pamoja na klabu ya FC Talanta ya Kenya.

No comments