BEKI 'KISIKI' CHELSEA AREJEA DIMBANI BAADA YA MIEZI 9
Beki wa Chelsea Kourt Zuma hatimaye amerejea dimbani baada ya kukaa miezi 9 nje ya uwanja akiuguza goti lake.
Zouma jana alicheza kwa mara ya kwanza akianza katika kikosi cha Reserve cha Chelsea ambacho hushiriki ligi Kuu ya England chini ya miaka 23 dhidi ya Derby County mchezo uliomalizika kwa sare ya bao 2-2.
Zouma alifanikiwa kucheza dakika 45 za mwanzo na hatimaye kutolewa ikiwa ni mpango wa kumweka sawa kabla hajarejeshwa kikosini.
Ikumbukwe Zouma aliumia mwezi February wakati Chelsea wakicheza dhidi ya Manchester United na katika mchezo wa jana alicheza kama beki upande wa kulia katika mfumo uliojumuisha mabeki watatu akiwemo Trvoh Chalobah na Fikayo Tomori..

No comments