AZAM WAENDELEA NA MAZOEZI KUWAKABILI TOTO AFRICANS JUMATANO

Azam FC tayari wako jijini Mwanza wakijiandaa na pambano lao la Jumatano dhidi ya Toto Africans ya huko.


Jana Kikosi cha timu hiyo kilifanya mazoezi katika uwanja wa polisi Mabatini tayari kuwakabili Toto Africans ambao katika mchezo uliopita waliifunga Mtibwa Sugar bao 3-2 huku Azam ikiifunga Kagera Sugar pia bao 3-2.





No comments

Powered by Blogger.