WACHEZAJI HAWA NDIYO WANAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI ENGLAND
Tuzo ya mchezaji bora wa mwezi nchini England kwa msimu wa mwaka 2016 /2017 itatolewa kwa mara ya kwanza ikiwa na mfumo tofauti wa upigaji kura.
Msinu huu mashabiki wataruhusiwa kupiga kura pia kupitia akaunti ya twitter ya Ligi kuu ya England yani @premierleague
Wachezaji wanne wanawania tuzo hii kwa mwezi Agosti baada ya kucheza vizuri katika mechi zao 3 za mwanzo ambao ni
Eden Hazard (Chelsea)
Curtis Davies (Hull City)
Raheem Sterling (Manchester City)
Antonio Valencia (Manchester United)

No comments