KALI ZA LEO : KASEJA NA BANKA WAITWA STARS YA UFUKWENI, MAN UNITED YAVUNJA REKODI YA MAPATO

Habari za wakati huu karibu tiziangalie japo kwa ufupi baadhi ya habari zilizotamba leo katika soka.


Hapa nyumbani.

● Kocha wa timu ya taifa ya Soka la ufukweni John Mwansasu amewaita kikosini wakongwe Juma Kaseja na Mohamed Banka kuongeza nguvu katika kikosi hicho kinachoendelea na mazoezi kwaajili ya mechi ya marudiano.

● Timu ya African Lyon imeifumga Mbao FC ya Mwanza kwa bao 3-1 katika mwendelezo wa ligi kuu nchini Tanzania.

Barani Ulaya

● Klabu ya Manchester United imekua klabu ya kwanza kufikia faida ya zaidi ya paundi milioni 550 kwa mwaka unaoishia Juni 2016.

● Kocha Arsene Wenger amewataka mashabiki wa klabu hiyo kumpa suport mshambuliaji mpya wa klabu hiyo Perez toka Deportivo la Coruna.


No comments

Powered by Blogger.