HII HAPA RATIBA YA MECHI ZA LEO LIGI YA MABINGWA ULAYA

Baada ya mechi 8 za jana leo zitapigwa mechi zingine 8 kukamilisha mzunguko wa pili katika hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa barani Ulaya.



RATIBA KAMILI

KUNDI A

9:45 PM - Arsenal vs FC Basel
9:45 PM - Ludogorets Razgrad vs Paris Saint-Germain

KUNDI B

9:45 PM - Besiktas vs Dynamo Kiev
9:45 PM - Napoli vs Benfica

KUNDI C

9:45 PM - Borussia Monchengladbach vs Barcelona
9:45 PM - Celtic vs Manchester City

KUNDI D

9:45 PM - Atletico Madrid vs Bayern Munich
9:45 PM - Rostov vs PSV Eindhoven

NOTE : MECHI ZOTE HIZO NI KWA SAA ZA AFRIKA MASHARIKI.

No comments

Powered by Blogger.