RASMI : MAN UNITED YATANGAZA KUMSAJILI PAUL POGBA KWA REKODI YA DUNIA

Baada ya miezi kadhaa ya tetesi hatimaye Klabu ya Manchester United imevunja rekodi ya dunia kwa kumsajili kiungo wa kimataifa wa Ufaransa aliyekua akiichezea Juventus ya Italia Paul Pogba.


Paul Pogba mwenye miaka 23 anajiunga na Man United kwa dau la paundi miloni 100 mshahara wa paundi 290,000 kwa wiki mkataba wa miaka mitano.

Pogba anakuwa mchezaji kwanza kusajiliwa kwa pesa nyingi akimzidi Gareth Bale ambaye paundi milioni 86 zilimng'oa Tottenham kwenda Real Madrid

No comments

Powered by Blogger.