LEWANDOWSKI AFUNGUA BUNDESLIGA KWA HAT-TRICK, BAYERN MUNICH IKISHINDA 6
Ligi kuu ya Ujeumani maarufu kama Bundesliga jana usiku ilianza rasmi msimu mpya wa mwaka 2016/2017 kwa mchezo mmoja tu kuchezwa.
Mabingwa watetezi Bayern Munich walikua nyumbani Alianz Arena kucheza na Werder Bremen.
Ikiwa katika ubora wake Bayern Munich iliitandika Bremen bao 6-0 huku mshambuliaji wake raia wa Poland Roberto Lewandowski akifunga bao 3 huku magoli mengine yakifungwa na Philip Lahm,Xabi Alonso na Frank Ribery.

No comments