EUROPA LEAGUE : SAMATTA AIPELEKA GENK HATUA YA MAKUNDI, KUKUTANA NA MAN UNITED?
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta usiku wa jana aliiwezesha klabu yake ya Genk kutinga hatua ya makundi ya michuano ya Europa League.
Ikiwa nyumbani jana Genk iliifunga Locomotive Zagreb bao 2-0 Mbwana Samatta akifunga bao la kwanza akifunga sekunde kadhaa baada ya mpira kuanza kisha Leon Bailey akafunga bao la pili na kukamilisha ushindi wa jumla wa bao 4-2 baada ya mechi ya awali kumalizika kwa sare ya bao 2-2.
Kwa matokeo hayo sasa Genk wanaingia katika makundi ya michuano hiyo ambapo timu kama Manchester United,Monaco,As Roma zitashiriki huku droo ikipangwa kufanyika leo

No comments