ANCELLOT AMTEUA MWANAE KUWA KOCHA MSAIDIZI BAYERN MUNICH
Kocha mkuu mpya wa mabingwa wa Ujerumani klabu ya Bayern Munich Muitaliano Carlo Ancellot amemteua mwanae Davide Ancellot kuwa msaidizi wake.
Bayern Munich wanaotumia uwanja wa Allianz Arena walimtangaza jana Davide Ancellot mwenye miaka 27 tu kuwa msaidizi wa kocha Carlo Ancelltu katika kikosi cha Bayern Munich.
Davide ni mchezaji wa zamani wa timu ya vijana ya AC Milan ambaye alishindwa kupata nafasi ya kuichezea Milan katika Serie A na kuamua kusomea ukocha.
Kijana huyo alikua na baba yake pia wakati Carlo Ancellot alipoifundisha Real Madrid katika misimu yake miwili ndani ya Santiago Bernabeu wakati huo akiwa kama kocha wa viungo.

![]() |
Davide Ancellot kushoto akiwa na baba yake katika benchi la ufundi la Bayern Munich |
No comments