AGENDA ZA MKUTANO MKUU WA YANGA LEO HIZI HAPA

Agenda ambazo zitatumika kwenye mkutano mkuu wa wanachama wa klabu ya Yanga zimewekwa wazi baada ya minong'ono ya muda mrefu tangu ulipotangazwa mkutano huo.


1.Mwenendo wa Timu
2.Mahusiano kati ya Yanga na TFF
3.Katiba ya Yanga
4.Mapato na Matumizi ya Klabu
5.Shukrani kwa Wajumbe waliomaliza muda wao
6.Kuishukuru Serikali kwa ushirikiano wanaonyesha kwenye mashindano tunayoshiriki.
7.Maendeleo ya klabu
8.Mengineyo.

No comments

Powered by Blogger.