TWITE ANOGEWA NA YANGA ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI ZAIDI

Kiungo wa kimataifa wa klabu ya Yanga Mbuyi Twite amekubali kuongeza miaka miwili kuichezea Yanga ambao ni mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara.


Taarifa iliyotolewa na klabu hiyo yenye maskani yake mitaa ya Twiga na Jangwani inasema Twite amesaini miaka miwili kubaki klabuni hapo wakati winga wa klabu hiyo Issaufou Bubakar amepewa barua ya kuvunja mkataba.

No comments

Powered by Blogger.