WACHEZAJI HAWA NDIYO WAMEFUNGA MAGOLI MENGI KATIKA UWANJA MMOJA ENGLAND

Baada ya kufunga bao moja jana Wayne Rooney amefikisha mabao 100 aliyofunga katika ligi kuu ya England katika dimba la Old Trafford pekee.



Mchezaji ambaye rekodi yake hajafungwa mpaka sasa ni aliyekua nahodha wa Arsenal Thierry Henry ambaye alifunga mabao 114 katika dimba la zamani la Arsenal Highbury.

Tumekuwekea hapa orodha kamili ya wachezaji ambao wamefunga mabao mengine zaidi katika uwanja mmoja

  1. Thierry Henry  - Highbury             114
  2. Wayne Rooney -  Old Trafford        100
  3. Alan Shearer     -  St James' Park      97
  4. Robbie Fowler  -  Anfield                  85
  5. Alan Shearer  -     Ewood Park          83
  6. Frank Lampard -    Stamford Bridge     79


No comments

Powered by Blogger.