RASHFORD NA BOTHWICK-JACKSON "WAJIFUNGA" MAN UNITED
Manchester United jana iliwasainisha mikataba mipya nyota wake wawili chipukizi kwa lengo la kuwabakiza klabuni hapo.
Mshambuliaji Marcus Rashford na mlinzi wa kushoto Cameron Bothwick-Jackson wamesaini mikataba mipya ya miaka minne kila mmoja.
Wachezaji hao wamekua na msimu mzuri baada ya kucheza katika kiwango cha juu huku Rashford akipata nafasi ya kuitwa katika kikosi cha England.
Wawili hao ambao mikataba yao ilikua inakaribia kuisha sasa watakaa klabuni hapo mpaka 2020 wakilipwa paundi 25,000 kwa wiki.

No comments