KUELEKEA EURO 2016 WENYEJI UFARANSA YAMWACHA BENZEMA KIKOSINI

Michuano ya kombe la Mataifa ya Ulaya Euro 2016 inatarajiwa kuanza kupigwa Juni 10 nchini Ufaransa na sasa ni muda muafaka kwa nchi Shiriki kutangaza vikosi vyao.


Wenyeji Ufaransa kocha wao mkuu Didier Deschamps ameamua kumwacha kikosini Nyota wa nchi hiyo na mshambuliaji wa Real Madrid Karim Benzema huku akimchukua Oliver Giroud kama mmoja wa washambuliaji wa kukibeba kikosi hicho ambacho wadadisi wa maswala ya soka wanakitaja kama moja ya vikosi bora katika michuano ya mwaka huu.

Hii ndiyo orodha kamili ya kikosi cha Ufaransa

Makipa:

 Hugo Lloris, Steve Mandanda,
Benoit Costil.

Mabeki: 

Raphael Varane, Laurent Koscielny, Bacary Sagna, Patrice Evra, Eliaquim Mangala, Jeremy Mathieu,
Christophe Jallet, Lucas Digne.

Viungo: 

Paul Pogba, Blaise Matuidi, Lassana Diarra, Moussa Sissoko, N'Golo Kante, Yohan Cabaye.

Washambuliaji : 

Antoine Griezmann, Anthony Martial, Olivier Giroud, Dimitri Payet, Kingsley Coman, Andre-Pierre Gignac.

Wachezaji wa Akiba: 

Alphonse Areola, Hatem Ben Arfa, Kevin Gameiro, Alexandre Lacazette, Adrien Rabiot, Morgan Schneiderlin, Djibril Sidibe, Samuel Umtiti.

No comments

Powered by Blogger.