HIKI NDICHO KIKOSI KAMILI CHA YANGA LEO JIONI DHIDI YA WAANGOLA
Mabingwa wa Ligi kuu Tanzania bara na wawakilishi pekee wa Tanzania waliobaki katika michuano ya kimataifa Yanga SC jioni ya leo watakua uwanjani nchini Angola kucheza mechi ya marudiano na wenyeji Sagrada Esperanga ya huko.
Yanga itaingia katika mchezo wa leo ikiwa na kumbukumbu nzuri ya goli 2-0 walizopata nyumbani katika mechi ya awali na watahitaji sare tu kuweza kutinga hatua ya makundi ya michuano ya shirikisho barani Afrika.
Mchezo huo utapigwa katika dimba la Sagrada kuanzia majira ya saa 9 alasiri kwa saa za Angola sawa na saa 11 jioni kwa saa za Afrika Mashariki na mpaka sasa hakuna kituo cha luninga kilichothibisha kuonyesha mchezo huo.
Kuelekea katika pambano hilo tayari Yanga wameweka kikosi kitakachocheza leo
BENCHI:
1.Ali Mustafa
2.Mwinyi Haji
3. Kevin Yondani
4. Salim Telela.
5 . Mateo Anthony
6. Deus Kaseke
7.Geofrey Mwashiuya

- Deogratias Munishi
- Juma Abdul
- Oscar Joshua
- Nadir Haroub
- Vincent Bossou
- Mbuyu Twite
- Simon Msuva
- Thabani Kamusoko
- Donald Ngoma
- Amissi Tambwe
- Haruna Niyonzima
BENCHI:
1.Ali Mustafa
2.Mwinyi Haji
3. Kevin Yondani
4. Salim Telela.
5 . Mateo Anthony
6. Deus Kaseke
7.Geofrey Mwashiuya
No comments