ZENGWE: KOCHA MKWASA HAJALIPWA MSHAHARA WAKE NA TFF
Taarifa zinasema kwamba kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Mzalendo Charles Boniface Mkwasa hajalipwa mshahara wake wa miezi kadhaa na anaendelea kuidai TFF ambao ndiyo wenye dhamana ya kumlipa kocha huyo kwa sasa.
Kabla ya Mkwasa kupewa timu ya taifa makocha waliomtangulia walikua wakilipwa na Serikali baada ya agizo la Rais Jakaya Kikwete kumlipa kocha wa timu ya Taifa ili pengine kuinua kiwango cha soka nchini.
Mkwasa mwenyewe amethibitisha kwamba hajalipwa mshahara wake wakati alipokua akiongea na moja ya radio kubwa Dar es salaam.
Tangu Mkwasa achukue jukumu la kuifundisha timu ya taifa kuna mabadiliko makubwa yameonekana ikiwa pia kurudisha morali kwa Watanzania kuipenda nchi yake.

No comments