ENGLAND YACHOMOA BAO 2 KABLA YA KUIANGAMIZA GERMANY 3

Pambano la kirafiki kati ya wenyeji Ujerumani wakiwakaribisha England limemalizika kwa England kuchomoza na ushindi wa bao 3-2.




Haikua rahisi England iliyosheheni vijana wengi kuibuka na ushindi huo kwani iliwabidi kusawazisha kwanza magoli mawili ambayo Ujerumani walitangulia kufunga kupitia kwa Toni Kroos na Mario Gomez.

Harry Kane alitangulia kufunga kisha Jermie Vardy akafunga bao la pili kabla ya Eric Dier hajafunga bao la ushindi kwa kichwa.

Tumekuwekea hapa highlights za mchezo huo kama hukupata muda wa kuangalia

No comments

Powered by Blogger.