UCL:ANGALIA MAGOLI YA MECHI ZA JANA KLABU BINGWA ULAYA

Kama hukufanikiwa kuona mechi za jana za klabu bingwa Ulaya katika ya Arsenal na Barcelona pia na ile nyingine ya Juventus waliokuwa nyumbani kuwakaribisha Buyern Munich basi tumekuwekea hapa highlights ya mechi zote mbili.


Waweza Kubofya hapa chini kusoma kwa undani juu ya mechi za jana

MESSI APIGA 2 BARCELONA WAKIIFUNGA ARSENAL KWAO, JUVENTUS NA BAYERN SARE  Mechi za kwanza za hatua ya 16 bora ya ligi ya mabingwa barani Ulaya ziliendelea tena jana usiku katika viwanja viwili jijini London England na Juventus kule Italia

Arsenal 0 - 2 Barcelona


Juventus 2 - 2 B Munich

No comments

Powered by Blogger.