No HII NDIYO RATIBA YA MECHI ZA LEO BONGO NA ULAYA
Taarifa Ikufikie kwamba baada ya mechi za jana leo pia kuna mechi nyingi tu za soka hapa nyumbani Tanzania na barani Ulaya.
Mechi baina ya Chelsea na ManchesterCity katika kombe la FA nchini England ni moja kati ya mechi kali za leo na kama kawaida yetu Tunakuwekea Ratiba yote hapa kwa saa za Afrika Mashariki ambayo huwa tunaiweka katika page yetu katika mitandao wa Facebook mapema kila Siku.
Enjoy
★English FA Cup
5:00 PM - Blackburn Rovers vs West Ham United
6:00 PM - Tottenham Hotspur vs Crystal Palace
7:00 PM - Chelsea vs Manchester City
★Spanish Primera División
2:00 PM - Rayo Vallecano vs Sevilla FC
6:00 PM - Malaga vs Real Madrid
8:15 PM - Athletic Bilbao vs Real Sociedad
8:15 PM - Granada vs Valencia
10:30 PM - Atletico Madrid vs Villarreal
★German Bundesliga
5:30 PM - Bayer Leverkusen vs Borussia Dortmund
7:30 PM - Hannover 96 vs FC Augsburg
7:30 PM - Schalke 04 vs VfB Stuttgart
★Italian Serie A
5:00 PM - Atalanta vs Fiorentina
5:00 PM - Genoa vs Udinese
5:00 PM - Sassuolo vs Empoli
5:00 PM - Torino vs Carpi
8:00 PM - Frosinone vs Lazio
10:45 PM - AS Roma vs Palermo
★French Ligue 1
4:00 PM - Marseille vs St Etienne
7:00 PM - Caen vs Stade Rennes
11:00 PM - Lille vs Lyon

No comments