EUROPA LEAGUE : MAN UNITED YAPATA FARAJA MAJERUHI KUPONA WAKIWAKABILI MIDTJYLLAND LEO
Habari nzuri Kwa mashabiki wa Manchester United ni kurudi kikosini Kwa
Wachezaji waliokua majeruhi Antonio Valencia,Adnan Januzaj na Marcos Rojo ambao wamefanya mazoezi na kikosi cha kwanza.
Ila habari mbaya kwa United ni kukosekana kwa Kipa wake namba moja Moja David De Gea ambaye ni majeruhi na huenda ikamchukua wiki kadhaa kabla ya kurejea dimbani.
Ila habari mbaya kwa United ni kukosekana kwa Kipa wake namba moja Moja David De Gea ambaye ni majeruhi na huenda ikamchukua wiki kadhaa kabla ya kurejea dimbani.
United itacheza na Midtjylland kuanzia Saa 5 usiku katika pambano hilo la marudiano huku ikiwa na kumbukumbu mbovu ya kupoteza Mchezo wa kwanza wiki iliyopita pale Denmark ambapo United ilichapwa bao 2-1.
Washindi wa mechi za hatua hii ya 32 bora watatinga katika hatua ya 16 bora na mshindi wa Kombe hili atapata tiketi ya kucheza ligi ya mabingwa barani Ulaya msimu ujao.
RATIBA KAMILI YA MECHI ZA LEO ALHAMIS 25/02/2016
★UEFA Europa League
- 7:00 PM - Lokomotiv Moscow vs Fenerbahce
- 9:00 PM - Lazio vs Galatasaray
- 9:00 PM - Rapid Vienna vs Valencia
- 9:00 PM - Liverpool vs FC Augsburg
- 9:00 PM - Bayer Leverkusen vs Sporting CP
- 9:00 PM - Athletic Bilbao vs Marseille
- 9:00 PM - Schalke 04 vs Shakhtar Donetsk
- 9:00 PM - Krasnodar vs Sparta Prague
- 11:05 PM - FC Basel vs St Etienne
- 11:05 PM - Tottenham Hotspur vs Fiorentina
- 11:05 PM - Molde vs Sevilla FC11:05 PM - Olympiakos vs Anderlecht
- 11:05 PM - FC Porto vs Borussia Dortmund
- 11:05 PM - Manchester United vs FC Midtjylland
- 11:05 PM - Napoli vs Villarreal
~SOKA LETU | JAMII YETU
No comments