YANGA YARUDI KILELENI LIGI KUU, YAIADABISHA NDANDA TAIFA
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Tanzania Yanga SC imerudi kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo baada ya kuibuka na ushindi mwembamba dhidi ya Ndanda FC ya Mtwara.
Mchezo huo uliopigwa katika dimba la Taifa jijini Dar es Salaam ulishuhudia Yanga wakiibuka na ushindi wa bao 1-0 goli la penati ya Kevin Yondani.
Kabla ya Yondani kufunga penati hiyo Yanga ilikosa penati yake ya kwanza baada ya Amiss Tambwe kushindwa kufunga.
Kwa matokeo hayo Yanga wamefikisha pointi 36 sawa na Azam fC ambao jana walitoka sare na African sports ya Tanga.

No comments