KOMBE LA FA: SIMBA VS BURKINAFASO UWANJANI LEO

Mzunguko wa tatu wa michuano wa Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) unatarajiwa kuendelea wikiendi hii  kwa michezo kadhaa kuchezwa katika viwanja mbalimbali nchini na michezo mitatu inatarajiwa  kuchezwa siku ya leo

mjini Morogoro Burkinfaso FC watawakaribisha Simba SC katika uwanja wa Jamhuri mjini humo,  Pamba FC watawakaribisha Toto Africans uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, huku Ndanda FC wakichea dhidi ya Mshikamano FC katika uwanja wa Nagwanda Sijaona Mtwara.

No comments

Powered by Blogger.