POCHETTINO KUIFUNDISHA CHELSEA?

Kocha wa Tottenham Hotspurs Marcio Pochettino anatajwa  katika orodha ya wanaotajwa kuchukua kazi ya kuifundisha Chelsea.




Pochettino ambaye anaonekana kufanikiwa katika filosofia yake katika kikosi cha Spurs na kuonekana anaweza kufanikiwa zaidi mwishoni  mwa msimu.

Wengine wanaotajwa katika orodha ya makocha wanaoonekana wanaweza kuifundisha Chelsea msimu ujao ni panoja na kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Italia Antonio Conte, aliyekua kocha wa Chile Jorge Sampaoli, meneja wa  Atletico Madrid, Diego Simeone na kocha wa Ufaransa Didier Deschamps

Chelsea inafundishwa na Guus Hiddink kocha ambaye anaiongoza Chelsea kumalizia msimu huu

No comments

Powered by Blogger.