CECH APANIA KUFIKIA REKODI YA ERIC CANTONA
Ubora aliouonesha mpaka sasa umechangia kwa kiasi kikubwa kwa Arsenal kukaa kileleni mwa ligi kuu ya Uingereza maarufu kama EPL. Ubora huo unazidi kuimarika mechi baada ya mechi na hata sare waliyopata mechi iliyopita ilikuwa ni kutokana na ubora wa Petr Cech.
Wachambuzi wa masuala ya soka wameanza kufikiria kuwa kama Arsenal na Cech wakiendelea na hari wanaliyonayo sasa basi kuna uwezekano mkubwa wa Petr Cech kufikia rekodi iliyowekwa msimu wa 1992/93 na Gwiji la Klabu ya Manchester Utd hasa baada ya kubeba kikombe cha ligi kwa klabu mbili tofauti kwa misimu miwili inayofatana.
Eric Cantona katika msimu wa mwaka 1991/92 alifanikiwa kuisaidia klabu ya Leeds United kubeba taji la ligi kuu Uingereza kabla ya kufanya hivyo tena msimu uliofata wa 1992/93 akiwa na Klabu ya Manchester United.

No comments