WACHEZAJI HAWA NDIYO WALIOPEWA JUKUMU LA KUHAKIKISHA MAN UNITED INASHINDA UJERUMANI
Manchester United tayari iko nchini Ujerumani kwaajili ya pambano la mwisho la Ligi ya Mabingwa Ulaya kundi B dhidi ya wenyeji Wolsfburg
United ambayo itahitaji ushindi katika mechi hiyo ili kujihakikishia nafasi ya kusonga mbele imesafiri na wachezaji wengi chipukizi kutokana na kuandamwa na majeruhi lukuki kikosini.
Kikosi kilichosafiri leo ni
Makipa
David De Gea,
Sergio Romero;
Walinzi
Paddy McNair,
Chris Smalling,
Guillermo Varela,
Cameron Borthwick-Jackson, Daley Blind,
Matteo Darmian;
Viungo
Bastian Schweinsteiger,
Michael Carrick,
Sean Goss,
Nick Powell,
Ashley Young,
Jesse Lingard,
Andreas Pereira,
Juan Mata;
Washambuliaji
Memphis Depay,
Marouane Fellaini,
Anthony Martial
No comments