Michuano ya Afrika Mashariki na kati inaendelea leo hii na Zanzibar atakuwa dimbani kuwakaribisha majirani zetu Kenya. Pia Sudani, Rwanda na Malawi na zenyewe zitakuwa viwanjani leo hii.
Rwanda Vs Somalia
Zanzibar Vs Kenya
S. Sudan v Malawi
Djibouti V Sudan
No comments